1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.08.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S10 Agosti 2020

Tanzania: Vyombo vya habari vilivyojiunga na mashirika ya utangazaji ya kimataifa bila ya kuwa na kibali maalum vimefanya makosa na kutakiwa kuacha kurusha matangazo hayo mara moja hadi pale vitakapoomba kibali na kupata ruhusa kutoka TCRA/ Odinga: Muungano wa NASA umesambaratika/ Ulimwengu waichangia Lebanon zaidi ya Euro milioni 250/ Mmiliki wa vyombo va habari Hong Kong atiwa nguvuni

https://p.dw.com/p/3giqK