10.08.2017 Matangazo ya Mchana | Habari za Ulimwengu | DW | 10.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

10.08.2017 Matangazo ya Mchana

Makundi ya waangalizi sita yameelezea kuwa mchakato wa uchaguzi nchini Kenya ulikuwa huru, wazi na wa haki siku mbili baada ya wakenya kushiriki uchaguzi huo// Picha jumla ya kile kinachoendelea hadi sasa katika ukumbi wa kujumlishia matokeo wa Bomas mjini Nairobi//Na huko katika Kaunti ya Nakuru, mtafaruku unaoshuhudiwa katika kuyajumlisha matokeo ni hali inayozua taharuki baina ya wananchi.

Sikiliza sauti 60:00