1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.08.2016 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S10 Agosti 2016

Wanaharakati wa haki za binadamu pamoja na mawakili wamemkemea vikali mkuu wa jeshi la polisi wa Uganda Jenerali Kale Kayihura kwa kile ambacho wamekitaja kukaidi agizo la kisheria kufika mahakamani// China imeitaja Kenya kuwa kiungo muhimu cha uwekezaji katika Bara la Afrika.

https://p.dw.com/p/1JfUo