10.07.2019 Matangazo ya Mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 10.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

10.07.2019 Matangazo ya Mchana

Umoja wa Mataifa: Baa la njaa linaongezeka duniani/ Marekani yataka ulinzi wa baharini eneo la Iran na Yemen/ Kumekuwa na taarifa za watu mbali mbali kutekwa na baada ya muda kupatikana wakiwa wametelekezwa katika maeneo tofauti nchini Tanzania> Mahojiano/ Viongozi na wakaazi wa eneo la Njoro, Kenya, wanaililia serikali kuchukua hatua ya dharura kuhusu bwawa linalovuja eneo hilo kuepuka maafa

Sikiliza sauti 60:00