Waziri wa Mambo ya nchi za Kigeni wa Ujerumani Heiko Maas yuko Tehran kuupigia debe mkataba wa nyuklia wa Iran // Watu wanne wauawa ktika makabiliano ya vikosi vya usalama na waandamanaji nchini Sudan // Na mamia kwa maelfu ya wakaazi wa Hong Kong waandamana dhidi ya mswada utakaoruhusu watuhumiwa kupelekwa China bara