1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.06.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S10 Juni 2019

Baraza la kijeshi linalotawala nchini Sudan limelishutumu vuguvugu linaloongoza maandamano nchini humo kwa kuendeleza machafuko// Waziri wa Mambo ya Nchi za Kigeni wa Ujerumani Heiko Maas yuko nchini Iran katika ziara inayolenga kuuokoa mkataba wa nyuklia ambao ulifikiwa mwaka wa 2015// Tanzania- Chama cha ACT-Wazalendo kimefanya maboresho kwenye safu yake ya uongozi.

https://p.dw.com/p/3K8Wl