10.05.2017 Matngazo ya Asubuhi | Habari za Ulimwengu | DW | 10.05.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

10.05.2017 Matngazo ya Asubuhi

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma leo anaanza ziara ya siku tatu nchini Tanzania akiwa amembatana na ujumbe wa wafanyabiashara 80 na wamawaziri wake sita// Mvua kubwa zimeendelea kunyesha katika pwani ya Afrika Mashariki na hata kusababisha vifo na hasara nyingi//Marekani na wengine wanahitimisha msako wao wa kimatifa dhidi yake na kundi lake la LRA.

Sikiliza sauti 52:00