1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.03.2016 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S09S10 Machi 2016

Athari za kiuchumi zinazosababishwa na vita nchini Syria huenda zikashuhudiwa kwa vizazi vijavyo kwa sababu ya idadi kubwa ya watoto wanaokosa elimu/ Libya bado inakabiliwa na hali ya wasiwasi, ikiwa ni miaka mitano tangu mapinduzi yaliyomuondoa madarakani kiongozi wa zamani, hayati Muammar Gaddafi/ Maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Utalii yameingia siku ya pili Leo/ Africa yasonga mbele

https://p.dw.com/p/1IAFy