1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.02.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S10 Februari 2022

Serikali ya Uganda imepinga maamuzi ya mahakama ya haki ya kimataifa ICJ kwamba iifidie Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kiasi cha dola milioni mia tatu ishirini na tano+++Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa atoa hotuba yake kwa wananchi wa taifa hilo lililo kusini mwa jangwa la Sahara+++Serikali ya Tanzania leo imeyafungulia magazeti manne yaliyokuwa yamefutiwa leseni zake hapo nyuma. 

https://p.dw.com/p/46plY