1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.01.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S10 Januari 2019

Ushindi wa rais mpya wa Congo, Felix Tshisekedi umepokelewa kwa shangwe na maelfu ya wafuasi wake mjini Kinshasa ambao wamemiminika kwenye makao makuu ya chama cha UDPS// Hali ya taharuki imetanda katika eneo la Likia, Njoro, kufuatia wizi wa mifugo uliopelekea mauaji ya mtu mmoja

https://p.dw.com/p/3BJuf