Kanisa Katoliki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo linasema kuwa matokeo yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi, CENI, hapo jana, hayalingani na yale ambayo waangalizi wake waliyakusanya kwenye vituo vya kuhesabia kura//Migawanyiko inazidi kuongezeka katika chama tawala cha Jubilee nchini Kenya