1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.11.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S9 Novemba 2020

Tanzania: Mwanasiasa wa chama cha CHADEMA Godbless Lema anazuiwa nchini Kenya baada ya kuvuka mpaka yeye na familia yake kukimbia kile kilichotajwa kuwa wasiwasi wa unyanyasaji baada ya uchaguzi mkuu/ Biden azidi kupongezwa/ Je, Biden anaweza kurudisha ushirikiano wa kimataifa na uongozi?/ Umoja wa Mataifa una matumaini na mazungumzo ya Libya/ Ethiopia yafanya mashambulizi ya angani Tigray

https://p.dw.com/p/3l36V