Donald Trump achaguliwa kuwa Rais wa Marekani// Wataalamu wa maswala ya ulinzi wamesema kwamba kundi la wapiganaji wanaojiita dola la Kiislamu IS linaendelea kupoteza umaarufu// Licha ya kwamba mitandao ya kijamii ni njia rahisi ya kujitangaza kibiashara na pia kusaka fursa kwa vijana, lakini mitandao hii ina gharama zake.