1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.09.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S9 Septemba 2021

Rais wa Kenya Uhuru ametangaza ukame unaoathiri maeneo mengi nchini humo kuwa janga la kitaifa+++Ujumbe wa ECOWAS kukutana na waliopindua serikali Guinea+++Polisi mkoani mbeya nchini Tanzania inawazuia watu wawili wanaoshukiwa kuwa kuhusika na genge linalowateka nyara watoto na kuwauza+++Taliban yapiga marufuku maandamano mjini Kabul+++Ujumbe wa ECOWAS kukutana na waliopindua serikali Guinea.

https://p.dw.com/p/408Ea