09.09.2021 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 09.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

09.09.2021 Matangazo ya Asubuhi

Waziri mkuu wa Somalia Mohamed Hussein Roble amtuhumu Rais Mohamed Abdullahi Mohamed kuingilia uchunguzi muhimu +++Ujerumani, China, Japan na Umoja wa Ulaya hawakuridhishwa na serikali mpya ya mpito iliyoundwa na Taliban nchini Afganis+++Nchini Ujerumani, katika maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko yaliyotokea hivi karibuni, watu wana mambo mengine ya kufikir.

Sikiliza sauti 52:00