1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.07.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S9 Julai 2020

Shirika la biashara duniani WTO linatafuta kiongozi mpya// Sekta kadhaa nchini Kenya zimeathirika kutokana na Janga la virusi vya Corona// Watoto nchini Yemen wanakabiliwa na hali mbaya ya utapiamlo kufuatia vita vya takriban miaka sita// Umoja wa Mataifa umesema uingiliaji wa kigeni katika mzozo wa Libya umefika katika kiwango kisicho cha kawaida.

https://p.dw.com/p/3f0rx