1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.07.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S9 Julai 2019

Trump amtemea cheche Bi May kwa nyaraka zilizovuja/ Hong Kong yaufuta muswada tata wa sheria/ Viongozi mbalimbali, wananchi, ndugu na wafanyakazi walikusanyika katika ofisi za Azam Media jijini Dar es salaam kwa ajili ya kutoa heshima zao za mwisho kwa wafanyakazi watano wa Azam media waliofariki katika ajali hapo jana/ AFCON: Timu zote ambazo zimeingia robo fainali sasa zinajulikana> Mahojiano

https://p.dw.com/p/3LnCk