09.07.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 09.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

09.07.2019 Matangazo ya Jioni

Mshauri wa rais wa Ufaransa afanya ziara nchini Iran kujaribu kuokoa makubaliano ya nyuklea yaliyosababisha mvutano mkubwa kati ya Iran na Marekani/ Usalama wa barabarani > Mahojiano/ Arusha: Mashirika ya kiraia yanatarajiwa kutoka na tamko la pamoja linalolenga kuihamasisha serikali kufanya mabadiliko ya sheria ya asasi za kiraia/ Hakuna ahueni Eritrea mwaka baada ya makubaliano na Ethiopia

Sikiliza sauti 60:00