1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.06.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S9 Juni 2020

Rais wa Burundi Pierre Nkrunziza amefariki dunia/ Uganda: Rais Museveni amekiri kwamba anakabiliwa na changamoto nyingi katika kukabiliana na ufisadi katika utawala wake/ Kenya: Bunge la kaunti ya Kirinyaga limepitisha hoja ya kumuondoa mamlakani gavana wa kaunti hiyo, Anne Waiguru/ Ripoti: Ubaguzi wa rangi waongeza Ujerumani 2019

https://p.dw.com/p/3dXhP