09.05.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 09.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

09.05.2019 Matangazo ya Jioni

Tanzania- Chama kikuu cha upinzani, CHADEMA, kimelitaka jeshi la polisi nchini humo kuharakisha kutoa taarifa za awali juu ya tukio linalotajwa la kutekwa kwa mwananchama wake aliyejipambanuwa kama mkosoaji mkubwa wa serikali ya awamu ya tano, Mdude Nyagali// Afrika Kusini-Matokeo ya awali ya uchaguzi yamekiweka chama tawala cha Africa National Congress ANC katika nafasi ya kusalia madarakani

Sikiliza sauti 60:00