1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.04.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S9 Aprili 2021

Uasi wa kigaidi nchini Msumbiji ulianza tangu mwaka 2017 na tangu hapo watu wengi wamekufa na wengine kuyakimbia makazi// Wakuu wa SADC walaani uasi nchini Msumbiji// Ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) nchini Tanzania imezua gumzo kubwa// Merkel, Putin wahimiza kutulizwa mivutano mashariki Ukraine.

https://p.dw.com/p/3rm0U