1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.04.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S9 Aprili 2021

Mwanamfalme Philip afariki na miaka 99// Tanzania- Viongozi wa kisiasa pamoja na baadhi ya watendaji wa serikali wanaanza kuonesha kigeugeu katika kauli na misimamo yao kwa mengi yaliyosemwa na kutendwa kwenye utawala uliopita// Vikosi vya usalama nchini Chad vimewashambulia kikatili waandamanaji na wanasiasa wa upinzani// Ujerumani kuweka sheria ya kitaifa kudhibiti COVID-19.

https://p.dw.com/p/3rnPc