1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.03.2018 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S9 Machi 2018

Rais wa Marekani Donald Trump amekubali kufanya mkutano wa kwanza wa kihistoria na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un katika hatua ya kushangaza ya mzozo mkali wa nyuklia kati ya Marekani na Korea Kaskazini// Rais Uhuru Kenyatta wa Kenyatta na Kiongozi mkuu wa upinzani Raila Odinga wamefanya mazungumzo katika afisi ya rais jijini Nairobi mchana huu.

https://p.dw.com/p/2u1aq