1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.01.2018 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S9 Januari 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli leo amekutana na waziri mkuu mstaafu wa Tanzania Edward Lowassa// Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hii leo linakutana kujadili hali kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo// Rais Xi Jinping wa China na kiongozi mwenzake wa Ufaransa Emmanuel Macron wasaini makubaliano ya kibiashara.

https://p.dw.com/p/2qaXw