1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.12.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S8 Desemba 2021

Olaf Scholz aidhinishwa kuwa Kansela wa Ujerumani/ Saudi Arabia yadai aliyekamatwa na Ufaransa hahusiki na mauaji ya Khashoggi/ Kenya: Watu 3 akiwemo mshambuliaji wa kujitoa muhanga wameuawa kwenye tukio la mripuko, Kisumu/ Museveni atetea operesheni ya majeshi yake DRC/ Rais wa Zanzibar alifungua kongamano kubwa la wawekezaji

https://p.dw.com/p/43zL9