1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.11.2019 Matangazo Ya Mchana

SK2 / S02S8 Novemba 2019

Kuahirishwa kwa muda wa mwisho wa kuundwa kwa serikali ya mpito Sudan Kusini kwa muda wa siku mia moja kumepokelewa kwa maoni mbalimbali na wadadisi wa masuala ya kisiasa//Vikosi vya usalama nchini Iraq vimewapiga risasi na kuwauwa waandamanaji wasiopungua sita mjini Baghdad

https://p.dw.com/p/3ShgV