Kamati ya Nobel imewatangaza waandishi habari Maria Ressa wa Ufilipino, na Dmitry Muratov wa Urusi kuwa washindi wa tuzo ya amani ya Nobel kwa mwaka huu wa 2021+++Mahakama ya juu kabisa ya katiba ya Poland imetoa hukumu inayoonyesha baadhi ya sheria za Umoja wa Ulaya haziendani na katiba ya Poland+++Ofisi ya Umoja wa Mataifa yenye dhima na haki za binadamu imeonesha wasiwasi kwa jeshi la Myanmar.