1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.06.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S8 Juni 2021

Burundi imeadhimisha mwaka mmoja tangu kufariki rais wa zamani, Pierre Nkurunziza/ Mahojiano kuhusu hatua ya rais wa Tanzania kukutana na wanawake akiwa mjini Dodoma/ Rwanda imeanza majaribio ya kutumia mbwa wa kunusa ili kugundua watu wenye maambukizi ya Covid-19/ Bunge la Israel kuipigia kura serikali mpya/ Janga la virusi vya corona linaendelea kuuandama ulimwengu

https://p.dw.com/p/3ubUb