1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.06.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S8 Juni 2021

Watu karibu elfu sita waliokimbia makaazi yao wanakabiliwa na hali mbaya ya kibinaadamu huko Ituri kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo/ Tanzania: Wananchi wamemtaka Rais kuunda utaratibu maalum wa kuwasikiliza watu walioofanyiwa vitendo vinavyokiuka haki za binadamu ikiwemo kuteswa na baadhi ya maafisa wanaoteuliwa na rais/ Michuano ya Euro 2020 inaanza Juni 11: Kundi A

https://p.dw.com/p/3uZOO