1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.06.2018 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S8 Juni 2018

Majaji kwenye mahakama ya kimataifa ya mjini the Hague leo wanatarajiwa kutoa uamuzi juu ya rufani iliyowasilishwa na aliekuwa makamu wa rais wa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo Jean-Pierre Bemba// Waalimu katika shule za msingi za umma nchini Kenya wamebuni njia mbalimbali za kutumia mifumo ya kidigitali kutoa mafunzo kwa wanafunzi.

https://p.dw.com/p/2z89v