08.05.2019 Matangazo ya Mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 08.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

08.05.2019 Matangazo ya Mchana

Iran kutotekeleza ahadi za mkataba wa nyuklia/ Waafrika Kusini wanapiga kura katika uchaguzi mkuu/ Wapiganaji wa Maimai wameushambulia mapema leo mji wa kibiashara wa Butembo/ Kenya: Mjadala kuhusu mishahara na marupurupu ya wabunge ungali unaendelea na wanaharakati wanashikilia kuwa ni sharti wabunge warudishe fedha walizolipwa kimakosa kama marupurupu> Mahojiano

Sikiliza sauti 60:00