1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.04.2020 Matangazo Ya Asubuhi

TSA / S08S8 Aprili 2020

Kipi tunachoweza kufanya ili kujiepusha au kukabiliana na hali ya msongo wa mawazo kwa wakati huu wa virusi vya Corona//Marufuku ya kutotembea, karantini na kusimamishwa kwa safari za ndege kufuatia mripuko wa janga la virusi vya Corona imeathiri pakubwa makundi yanayouza dawa za kulevya nchini Mexico

https://p.dw.com/p/3acUf