1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.03.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S8 Machi 2019

Wakati huu ambapo ulimwengu unasherehekea siku ya mwanamke ulimwenguni, wanawake mjini Bukavu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameandana kupinga mashambulizi dhidi yao yanayofanywa na vijana wa kiume kutokana na kuvaa suruali

https://p.dw.com/p/3EglL