1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.02.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S8 Februari 2021

Rais Mwinyi atimiza siku 100 za mwanzo mamlakani/ Viongozi wa upinzani nchini Somalia wametangaza kuwa hawamtambui tena Rais Mohamed Abdullahi Mohamed/ Kenya: Kuondolewa kwa zaidi ya wakaazi 3,000 katika kijiji cha Kibos kilichopo Kisumu/ Congo yasajili kisa kipya cha Ebola mkoa Kivu ya Kaskazini/ Afrika Kusini yasitisha kuanza utoaji chanjo ya AstraZeneca

https://p.dw.com/p/3p3EN