Jopo la pamoja la Wabunge na maseneta wa Somalia linamchagua rais wa nchi hiyo hii leo// Serikali ya Ghana imepiga marufuku shughuli za uvuvi, katika juhudi za kukuza tena kiwango cha samaki// Shughuli za kuwasafirisha wahamiaji haramu zimegonga mwamba nchini Niger baada ya kufanyika msako mkali katika mji wa Agadez.