1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.01.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S8 Januari 2021

Uvamizi wa bunge la Marekani uliofanywa na wafuasi wa Rais Donald Trump umeharibu sifa ya nchi hiyo kama kiongozi wa demokrasia duniani// Viongozi wawili wa kidini nchini Uganda, wa Kikatoliki na mwenzake wa kiothodoksi walianzisha maombi maalum ya amani wakati wa uchaguzi// Zanzibar- Baadhi ya watu wenye ulemavu wameshirikishwa katika mafunzo jumuishi ya utetezi wa haki zao.

https://p.dw.com/p/3nfuE