1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.01.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S8 Januari 2020

Oman inayo mahusiano mazuri na Iran na pia Marekani, hali ambayo imeiweka katika nafasi ya kuwa mpatanishi baina ya nchi hizo mahasimu> Mahojiano/ Guterres ameonya kwamba mivutano ya siasa za kimataifa inazidi kuongezeka kasi. Amezitaka nchi husika kujizuia kuendeleza mapigano/ Lamu: Hali ya wasiwasi ingali imetanda katika eneo la Manda kufuatia mashambulio yaliyofanywa na kundi la Al-Shaabab

https://p.dw.com/p/3VsNZ