Kundi la itikadi kali la Hamas lililo na nguvu katika eneo la Palestina limetoa wito wa maandamano ya kutaka mageuzi dhidi ya Israel baada ya rais wa Marekani Donald Trump kuitambua rasmi Jerusalem// Chama cha cha Social Democrats (SPD) nchini Ujerumani bado kiko njiapanda, je kitapaswa kuunda muungano mwingine mkubwa na wahafidhina wa Kansela Angela Merkel?