07.12.2017 Matangazo ya Jioni | Habari za Ulimwengu | DW | 08.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

07.12.2017 Matangazo ya Jioni

Waumini wa kiislamu kuanzia Mashariki ya kati, Asia mpaka Afrika wanaandamana kulaani uamuzi wa rais wa Marekani Donald Trump kuutambua mji wa Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel// Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aliyaonya mataifa yenye nguvu katika eneo la ghuba dhidi ya kuiingilia maswala ya Lebanon katika mkutano wa kimataifa ambao ulikuwa na lengo la kuondoa shinikizo kwa nchi hiyo.

Sikiliza sauti 60:00