Rais Donald Trump wa Marekani kuutambua mji wa Jerusalem kama Mji Mkuu wa Israel// Mabomu yanaporomoshwa mtindo mmoja mjini Sanaa tangu rais wa zamani wa Yemen, Ali Abdullah Saleh, alipouliwa// Wanawake wa jamii za wafugaji katika mikoa ya kaskazini mwa Tanzania wameonyesha uwezo wa kuhifadhi mazingira na rasili mali za asili.