1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.11.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S6 Novemba 2018

Kama ulivyokwisa sikia katika taarifa yetu ya habari vituo vya kupigia kura vimefunguliwa nchini Marekani, katika uchaguzi wa katikati ya muhula ambao utaamua chama kitakacholidhibiti bunge la nchi hiyo// Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametoa wito hii leo wa kuwepo "jeshi la kweli la Ulaya" kulihami bara la Ulaya dhidi ya Urusi na pia dhidi ya Marekani.

https://p.dw.com/p/37lXN