1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.10.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S7 Oktoba 2021

WHO yaidhinisha chanjo ya kwanza dhidi ya Malaria+++Human Rights Watch imesema wasichana wanaofukuzwa shule kwa kupata ujauzito Tanzania wanakosa haki yao ya kupata elimu+++Nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, jeshi limewakamata watu 30 raia wa Burundi waliojaribu kuvuka bonde la mto Ruzizi kuelekea nyanda za wilaya ya Uvira+++Mlinzi wa miaka 100 wa enzi ya Manazi kushitakiwa kwa mauaji.

https://p.dw.com/p/41OKm