07.10.2021 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 07.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

07.10.2021 Matangazo ya Jioni

Mtanzania Abdulrazak Gurnah ashinda nishani ya Nobel ya Fasihi+++Mazungumzo ya kwanza ya kina ya kuunda serikali yaanza kati ya vyama viwili vidogo na SPD+++Ripoti ya shirika la utafiti la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo lenye makao yake katika chuo kikuu cha New York nchini Marekani, imebaini kuwa kulifanyika ubadhirifu wa fedha wakati wa janga la Covid-19.

Sikiliza sauti 60:00