1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.10.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S7 Oktoba 2021

Desmond Tutu ambaye anatimiza umri wa miaka 90 leo hii, bado ni mfano wa kuigwa kwa maadili mema nchini Afrika Kusini+++Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa atakuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele juu ya Afrika siku ya Ijumaa+++Tarehe 30 mwezi huu wa Oktoba itakuwa ni miaka 60 tangu Ujerumani ilipoingia makubaliano ya kuleta wafanyakazi wa kigeni kutoka Uturuki.

https://p.dw.com/p/41NXs