1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.09.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S7 Septemba 2021

Guinea imeshuhudia mapinduzi mengine ya kijeshi. Mkuu wa kikosi maalumu cha Jeshi ameaminika kuwa na uhusiano wa karibu na Ufaransa/ Mamlaka nchini Sudan ilinasa masanduku 72 ya silaha zilizowasili nchini humo kutoka Ethiopia kupitia usafiri wa ndege/ Merkel na sera ya kigeni ya Ujerumani/ Mamia ya wafanyakazi wa Kiafrika katika ardhi ya Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE wamewekwa kizuizini

https://p.dw.com/p/400da