07.09.2020 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 07.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

07.09.2020 Matangazo ya Mchana

Rais Kagame ajitokeza na kukomesha uvumi kuhusu kifo chake/ Raia Uganda wahofia uchaguzi mkuu ujao utakumbwa na ghasia/ Salman amwambia Trump suala la Palestina litatuliwe kwa haki/ Huenda pande hasimu Afghanistan zikakutana Doha kwa mazungumzo/ Mpango wa Uingereza wa Brexit waibua wasiwasi Umoja wa Ulaya

Sikiliza sauti 60:00