1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.07.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S7 Julai 2017

Haki ya kila mtu kuweza kukusanyika mahali popote na wakati wowote bila kuomba kibali kwa polisi ama serikali iliyohakikishwa katika katiba ya Ujerumani itaingia majaribuni kuanzia Ijumaa wakati viongozi wa nchi na serikali watakapokusanyika mjini Hamburg katika mkutano wa kundi la mataifa yaliyoendelea na yanayoinukia kiuchumi duniani G20.

https://p.dw.com/p/2g7WN