Chama kikuu cha upinzani nchini Kenya ODM kimepata mtikisiko baada ya kujiuzulu kwa katibu mkuu wake Ababu Namwamba// Chama cha mrengo mkali wa kulia maarufu kama Chama Mbadala cha nchini Ujerumani kimegawanyika katika makundi mawili baada ya mzozo// Marekani imemwekea vikwazo kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un.