Uganda: Maagizo ya kudhibiti corona yachanganya umma/ Viongozi wa Marsabit walaumiwa kufadhili machafuko/ Vyama viwili vya upinzani katika jimbo la Somaliland lililojitenga na Somalia, vimeshinda kwa wingi wa viti katika uchaguzi wa kwanza wa bunge ndani ya kipindi cha miaka 16 > Mahojiano/ CDU wapata ushindi mkubwa Saxony-Anhalt/ Burkina Faso yaomboleza waliouwawa na magaidi mwishoni mwa juma