07.06.2021 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 07.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

07.06.2021 Matangazo ya Jioni

Wakazi waliokimbia Volcano DRC watakiwa kurejea nyumbani/ Kiongozi wa kijeshi nchini Mali, Kanali Assimi Goita leo hii ameapishwa kuwa rais wa mpito/ Mashambulizi ya wanamgambo wa Taliban yameongezeka nchini Afghanistan ambapo wanajeshi wanajeshi 150 wameuwawa/ Polisi ya Israel imesema leo kuwa imezuia kufanyika kwa maandamano ya Wayahudi wenye misimamo mikali ya kizalendo

Sikiliza sauti 60:00